Friday, February 24, 2012

Mtumishi Freddy Chavala Kuanza Season One Ya Matamasha ya Cheka Tena(Laugh Again Concert ) Tar 4 March 2012,Pale Landmark Hotel,Ubungo,Dsm.


 Baada ya mafanikio makubwa ya uzinduzi wa matamasha hayo mwishoni mwa mwaka jana, Nov 20 2011 pale Crystall hall ndani ya Blue pearl hotel, Ubungo plaza. Sasa mbeba IDEA
PRESIDENT CHAVALA  ameamua kuanza rasmi MSIMU WA KWANZA(SEASON ONE) wa matamasha hayo ya stand up comedy Tanzania, na Tamasha la kwanza ndio hili LAUGH AGAIN CONCERT One One litakalofanyika pale Ibungira hall ndani ya LANDMARK HOTEL,Ubungo,river side, jumapili ya kwanza ya march(4th March 2012), kuanzia saa nane na nusu mchana mpaka mbili usiku(2:30pm8pm).

 Mbali na CLOWN CHAVALA,Tamasha hili la Ubungo litawapandisha comedians chipukizi watano ambao ni Senior ABBY, GERALD MREMA, RICHARD CHIDUNDO, JOSEPHINE LUKWETO na MC MANU a.k.a Pilipili ya Sherehe toka Dodoma,Makundi mengine ya watu watakaonogesha tamasha hili ni pamoja na kundi maarufu la vijana waimbaji waitwao GLORIOUS CELEBRATION BAND, pia DAR ES SALAAM GOSPEL BAND, VOCAPELLA GROUP, VICTOR ARON,MADAM RUTH &CHRISS na wengine wengi bila kusahau kundi la DANCE.

Glorious Celebration Nao Watakuwepo Kumsindikiza Chavala

Akiongea na VIPAJI HALISI kutoka jijini Dar es salaam mbeba maono hayo Presdent Chavala amesema LAUGH AGAIN CONCERT One One litahusisha Stand Up Comedy(Zaidi), pamoja na Acapella, Dance,Sebene,Story telling, Zawadi & Suprises, Open Mic,Drama,na mengine mengi yatokanayo! Mbali na hayo kutakuwa na uzinduzi wa FORUM iitwayo QUALITYLOVE.com, ambayo itakuwa maalumu kwa ajili ya kujadili maswala ya Upendo safi kwa kina,ubora,upana na ubora wake katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Na kama mambo yataenda kama yalivyopangwa kutazinduliwa kitabu kiitwacho "NO MORE SCHOOL FOR YOU"(Your birth was your Graduation) By FREDY E. CHAVALA.

Kiingilio kwa tamasha hili itakuwa 5000/= kwa tiketi, ambazo zinapatikana Victory Christian Centre(VCC);Tarakea Restaurant(Mwenge),Silver Spoon and Tausi Fashion pale Mlimani City,Global Publisher na Praise Power Radio pia mtu anaweza kununua tiketi kwa MPesa (0753 883 797) au Tigo Pesa (0713 883797) kwa kutuma 6000/= na atapata tiketi yake mlangoni, lakini hakikisha unatuma pesa kwa namba yako mwenyewe iliyosajiliwa kwa jina lako!


The Voive,Waimbaji wa Acapella Nao watakuwepo

















 LAUGH AGAIN CONCERT Season One itakuwa na matamasha nane katika mikoa mitano ya hapa nchini kwa kuanzia, Matamasha haya yatafanyika kuanzia MarchAugust/September 2012 katika mikoa ya Dar es salaam(3),Arusha(1),Mwanza(1),Dodoma(2) na Mbeya(1).

 Tar 1st April ni ARUSHA na 29th April ni ndani ya COLD CREST HOTEL,Mwanza then DSM tena !
Clown Chavala,The King of Stand up Comedy! Alimaarufu kama President Chavala!
Ambaye ni MC Maarufu ,Mchekeshaji(stand up comedian) na Muasisi wa christian stand up comedy Tanzania, ambaye ndiye Mchekeshaji mkuu na Project manager wa hii project,amesema matamasha haya yatakuwa endelevu na yatafika katika kila mkoa wa Tanzania na baadae mwaka huu tunategemea kuanzisha vipindi maalum katika televisheni kadhaa nchini na mbeleni zaidi kutunza matamasha hayo katika DVDs. Zaidi mwaka huu tutakuwa na Movie project ambazo zitawahusisha vipaji vipya kabisa sana sana katika tasnia ya Stand Up Comedy.

Tuesday, February 21, 2012

Campus Night at Saint Augustine University on 24-02-2012

Contact Us

HHC ALIVE FM 91.9 MHz

P.O.BOX 6419
, MWANZA – TANZANIA
C.E.O: +255 762 404 383
Marketing Department +255 755 744 376
Broadcasting House, Mamlaka ya Pamba, Kirumba
Mlolwa Building 1st floor

HHC ALIVE FM WEEKLY PROGRAMME

PROGRAMME MONDAY – FRIDAY

05:00 – 07:00
AMKA NA HHC ALIVE FM + CDP SWAHILI
07:00 – 09:00
SUNRISE LIVE
09:00 – 11:00
DIRA
11:00 – 12:00
INGIZO JIPYA + PROMOTION OF NEW SONGS
12:00 – 14:00
MID – DAY MELODY
14:00 – 16:00
VIPAJI HALISI
16:00 – 17:30
CROSS RHYTHM
17:30 – 18:00
CDP ENGLISH
18:00 – 19:00
SALAAM ZA JIONI/SALAAM LIVE
19:00 – 20:00
KWELI  ITAKUWEKA  HURU
20:00 – 20:30
SPORTS LIVE
20:30 – 21:00
HAPA  NA  PALE
21:00 – 22:30
SAUTI YA TUMAINI
22:30 – 23:00
MUZIKI MCHANGANYIKO
23:00 – 00:00
THE NIGHT OF PARADISE
00:00 - 05:00
USIKU MWEMA NA HHC ALIVE FM


PROGRAMME SATURDAY
05:00 – 07:00
AMKA NA HHC ALIVE FM+CDP SWAHILI
07:00 – 09:00
SUNRISE LIVE
09:00 – 10:00
MTU NI AFYA
10:00 – 11:00
WATOTO LIVE
11:00 – 12:00
MTAALAMU WA LEO
12:00 – 13:00
AFRICAN GOSPEL
13:00 – 14:00
MWANAMKE NA UPENYO
14:00 – 15:00
SIFA MOTO
15:00 – 16:00
AMKA PAMBANA
16:00 – 18:00
JUKWAA LETU
18:00 – 19:00
KIJANA NA UJANA
19:00 – 20:00
MAHUBIRI YA KULIPIA
20:00 – 20:30
SPORTS LIVE
20:30 – 21:00
MAHUBIRI YA KULIPIA
21:00 – 22:30
SAUTI YA TUMAINI
23:00 – 00:00
THE NIGHT OF PARADISE
00:00 - 05:00
USIKU MWEMA NA HHC ALIVE FM


PROGRAMME SUNDAY
05:00 – 07:00
AMKA NA HHC ALIVE FM+CDP SWAHILI
07:00 – 10:00
SUNDAY SPESHO
10:00 – 12:00
ZILIZORINDIMA
12:00 – 14:00
CHEZA NAMI
14:00 – 16:00
20 KALI ZA WIKI
16:00 – 18:00
FAHARI YA WAZEE
18:00 – 19:00
MAGAZETI YA KIKRISTO
19:00 – 20:00
CHEMSHA BONGO
20:00 – 20:30
SPORTS LIVE
20:30 – 21:00
MUZIKI /MATANGAZO
21:00 – 22:30
SAUTI YA TUMAINI
23:00 – 00:00
THE NIGHT OF PARADISE
00:00 - 05:00
USIKU MWEMA NA HHC ALIVE FM